Nyumba nzuri
Najua huwezi kuamini ila ndio hivyo tena inabidi uamini kuwa hapa hapa jijini kuna nyumba nzuri sana zaidi ya hizi na zinamilikiwa na watanzania ..kweli ni maendeleo..hizi ni baadhi tu ya nyumba za kisasa zinajengwa jijini.

Share on Google Plus

About Clejah Charles

I love the City of Dar es Salaam and I love sharing photos of this beautiful city which is now growing very fast. I am Blogger, Chef and Webmaster.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 Maoni:

Anonymous said...

MUHUSIKA,
nINASHIDA SANA YA WAJENZI WA NYUMBA HII YA PILI NA YA TATU NITAWAPATAJE